TID AFUNGUKA ZAIDI KUHUSU KUMTUSI RAY C
Baada
ya stoty kubwa ya jana kuhusu TID Mnyama kumtukana Rehema Chalamila
'RAY C' kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram baada ya Kuomba
kuzungumza nae, sasa kwa mara nyingine TID amefunguka kama ifuatavyo
kuhusiana na jibu alilompa mwanadada Ray C kwenye picha yake ya
Instagram.

Aaah kumbe ni yeye ndio ananitafuta, why cant you just call her halafu ndo unipigie mimi simu, umwambie kwanini unamtafuta huyu jamaa na kwanini na kwanini, kwasababu mimi kama mtu ananitafuta hawezi kunitafuta kwenye Instagram, so may be she is trying to make somebody happy, sasa ndo hicho ambacho kime, umeona labda kuna tatizo.
am not her type, umeelewa, she wants to prove a point, may be she wants to make up with me, am not ready my friend, i don't date women like her, umeelewa, yaani kama anataka back up, asitafute backup kwangu, kuna society kibao ambazo anaweza kuzisaidia, anaweza akashuka pale kinondoni manyanya akafanya nini, kwa hiyo she shouldn't be involved na mambo yangu na maisha yangu, awasaidie watu wengine, mimi i really don't need to see her kabisa, she is a bad influence
TID AFUNGUKA ZAIDI KUHUSU KUMTUSI RAY C
Reviewed by Unknown
on
01:21:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
01:21:00
Rating: