NGONO YA WATU WATATU YAMPONZA CHRIS BROWN NA KUACHIKA

Wakati ambapo kila mtu anahisi Chris Brown na Karrueche Tran wanaishi raha mustarehe, kuna ripoti ya kushtusha kuwa wawili hao wameachana baada Chris kumuomba Kae threesome (mapenzi yanayohusisha watu watatu).
Inasemekana kuwa kuwa Kae amemind kiasi ambacho amemgomea kumpa ‘tunda’ ili kumpa somo huku pia akifuta picha zao kwenye akaunti yake ya Instagram.
Chris anadaiwa kumuomba Kae wafanye threesome (one na kasha kupost picha ya nusu uchi ya mrembo huyo.
NGONO YA WATU WATATU YAMPONZA CHRIS BROWN NA KUACHIKA NGONO YA WATU WATATU YAMPONZA CHRIS BROWN NA KUACHIKA Reviewed by Unknown on 01:19:00 Rating: 5
Powered by Blogger.