MARTIN KADINDA ATHIBITISHA KUMZIMIA WEMA WA DIAMOND
MWANAMITINDO
maarufu Bongo, Martin Kadinda amesema kabla hajawa kiongozi wake, awali
aliwahi kumtamani kimapenzi mcheza filamu Wema Sepetu, lakini alighairi
baada ya kugundua ni mwanamke wa kudekadeka.Kadinda alitoa kauli hiyo
hivi karibuni wakati akipiga stori na paparazzi wetu kuhusu masuala
mbalimbali yanayomhusu msichana huyo ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na
mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.Kuhusu maisha wanayoishi nyota
hao wawili wapenzi, Kadinda alisema kwa jinsi wanavyoishi ni kama watu
wanaoigiza, akitolea mfano wa kipindi walichorudiana wakiwa nchini
China, ambako wenyewe walisema wanaigiza filamu wakati ndiyo kwanza
walikuwa wanarejesha penzi lao lililovunjika mara ya kwanza.
MARTIN KADINDA ATHIBITISHA KUMZIMIA WEMA WA DIAMOND
Reviewed by Unknown
on
01:18:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
01:18:00
Rating:
