Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’

Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam.
ney
Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima
Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana na kupanda kwa gharama za kuandaa muziki wake.
“Sasa hivi nafanya show kwa milioni 5 kwa show za nje ya Dar, yani hiyo ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi , ndani ya Dar ni milioni 4, na sasa hivi nipo na management na sasa hivi nina manager ambae anasimamia kazi zangu” Alisema Nay Wa Mitego.
Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’ Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’ Reviewed by Unknown on 06:40:00 Rating: 5
Powered by Blogger.