Miss Tanzania wa zamani Millen Magese atoa ujumbe muhimu kwa wanawake

Aliyewahi kuwa miss Tanzania, Happiness Millen Magese ametoa ujumbe muhimu kwa wanawake kuhusu swala la kuchunguza afya zao mara kwa mara, ili kuweza kutatua mapema matatizo ambayo yanaweza kuwasababishia tatizo kama alilopata yeye la ‘Endometriosis’ na kumsababishia kuwa mgumba.
Magese-1
Kupitia Instagram hiki ndicho alichokiandika:
“Kina dada kabla hamjafikiria kununua pea nyingine ya viatu, Brazilian hair na kutaka kuonekana mzuri, jenga tabia ya kupima afya yako kabla haujachelewa. Jifunze kidogo kuhusu mfumo wako wa uzazi na uone kama kuna tatizo lolote la kurekebisha. Muda sasa umefika wa kuacha kulaumu tamaduni zetu, dini zetu kama sababu za mambo ya afya zetu. Sisi ni wanawake,tuna magonjwa mengi ambayo yanatuandama au yanayotuwia vigumu kuyazuia lakini kuwa na elimu juu ya miili yetu itatusaidia. #UJUE MWILI WAKO. Soma stori yangu katika jarida hili” http://www.radianthealthmag.com/blog/introducing-radiant-first-inaugural-cover-issue/.
magese-2
Magese pia ameshare picha (hapo juu) na kuandika:
“I love my faith #too high #too strong #Baba yangu ,Kikombe hiki nikishakunywa Mapenzi yako yatimizwe . I’m sharing these pics today because I explained Endometriosis grows in the other part of uterus body here 2009 ,it damaged my bladder #read more about women health issues #be aware learn to build a habit of knowing your body #Be your own Ambassador for ur future life of being a mother /powerful woman by taking care of yourselves now. If it’s too late for you then use ur pain to turn all into positive and help someone else .Life isn’t over yet,you must live. Learn from me and many more . See your doctors/gynos.”
magese-3
Ameongeza:
“IF I knew early!!!!!!Sometimes I used to just think without knowing what to do and why is it happening to me #8th surgery 2010 #Just take care of yourselves # Infertility and causes that sends a woman to infertility.”
Miss Tanzania wa zamani Millen Magese atoa ujumbe muhimu kwa wanawake Miss Tanzania wa zamani Millen Magese atoa ujumbe muhimu kwa wanawake Reviewed by Unknown on 06:41:00 Rating: 5
Powered by Blogger.