Mateo: Mtoto wa miaka 3 aliyegeuka staa kwenye internet kwa uwezo wa kubishana (Video)








http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/188cupcake.jpgMateo ana miaka mitatu pekee lakini anapenda kubishana kama mtu mzima.

Pindi mama yake Mateo ameiweka Youtube video akibishana naye kuhusu keki, haikupata click mbili tatu – ilienda viral na hadi sasa imeangaliwa kwa zaidi ya mara milioni 15!
Video hiyo pia ilimvutia Ellen DeGeneres aliyeiweka kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika: I want this little boy to come to my show immediately. I want to retain him as my lawyer.” Mateo na mama yake Linda walihojiwa kwenye Ellen DeGeneres Show, March 18.



Mateo: Mtoto wa miaka 3 aliyegeuka staa kwenye internet kwa uwezo wa kubishana (Video) Mateo: Mtoto wa miaka 3 aliyegeuka staa kwenye internet kwa uwezo wa kubishana (Video) Reviewed by Unknown on 02:00:00 Rating: 5
Powered by Blogger.