Lina afunguka kinachomuweka mjini.
Imetokea kuwa kama siri kubwa hivi kwa msanii kufunguka hasa maswali yanapojitokeza kuhoji ni jinsi gani msanii, hasa wa kike kama Linah anaweza ku-survive hapa town, tena hata bila ya kutoa hit yeyote kwa hivi sasa. Akiwa anahojiwa na kitoa kimoja cha redio mapema wiki hii linah alifunguka kwa kile kinachomfanya aishi mjini hvi sasa.” Labda niseme kitu kimoja, unajua unapokuwa msanii unatakiwa ujipange vya kutosha. Anything can happen. Kwa hiyo unapofanya kazi at the time unapokuwa vizuri inabidi ujipange kwa maisha ya mbele pia. Kama mimi nilikuwa nimejipanga enough kwamba in case ikitokea kitu chochote mimi niko sawa. Yaani sitatetereka “-alifunguka, hii inaonyesha kuwa Linah alikuwa anajua katika maisha kuna kupanda na kushuka, na lamuhimu ni kuwa teyari kutarajia kushuka.
Lina afunguka kinachomuweka mjini.
Reviewed by Unknown
on
05:34:00
Rating: