HII INAMUHUSU KILA MTU!! KUMBE UTAMU WA MWANAMKE UNAWEZA KUSABABISHA KIFO NDANI YA 6X6

AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA UTAMU WA MAPENZI.Kijana
mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na
kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre.
Gazeti
la Daily Times nchini Malawi limeripoti kuwa kijana huyo alinunua
kahaba huyo maeneo ya Ndirabe katikati ya jiji la Blantyre.Afisa wa Polisi mjini Blantyre Bi.Edina Ligowe amesema Jerre alikufa kutokana na kuwa na hisia za juu sana pamoja na kuhisi utamu uliopitiliza wakati akifanya ngono na kahaba huyo (sexual excitement and sweetness).
Aidha Afisa huyo amesema kuwa kahaba huyo hatafunguliwa mashtaka yoyote kwa sababu hakuna kosa alilofanya kwa yeye kuwa mtamu kupitiliza.
"She committed no crime by being too sweet to the man" Ilisema ripoti ya Polisi nchini Malawi.
HII INAMUHUSU KILA MTU!! KUMBE UTAMU WA MWANAMKE UNAWEZA KUSABABISHA KIFO NDANI YA 6X6
Reviewed by Unknown
on
05:14:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
05:14:00
Rating: