BREAKIN NEWZZ!!.......- MWANAMUZIKI MAARUFU NCHINI AMEFARIKI DUNIA MUDA MCHACHE ULIOPITA!!

Mwanamuziki mwenye sauti tamu wa bendi ya FM Academia aka Wazee Wa Ngwasuma aitwae Digital amefariki dunia muda mfupi alipokuwa amelazwa katika hospital ya Muhimbili jijini Dar, awali tangu wiki iliyopita alikimbizwa hospitali ya Mwananyamala baada ya kuzidiwa na maradhi, na chanzo cha kifo chake hakijaelezwa! poleni FM Academia, ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu.
Kwa habari zaidi nitaendelea kuwajuza zaidi, Mungu amlaze mahala pema peponi ameni.
BREAKIN NEWZZ!!.......- MWANAMUZIKI MAARUFU NCHINI AMEFARIKI DUNIA MUDA MCHACHE ULIOPITA!! BREAKIN NEWZZ!!.......- MWANAMUZIKI MAARUFU NCHINI AMEFARIKI DUNIA MUDA MCHACHE ULIOPITA!! Reviewed by Unknown on 02:53:00 Rating: 5
Powered by Blogger.