VIDEO: Waziri Nape kaitoa hii ya wachezaji kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni
Headlines
za kutokea bungeni dodoma bado zinazidi kukufikia kwa wepesi zaidi kila
kukicha, najua shauku ya wengi ni kuisubiria bajeti kuu kusomwa hapo
kesho June 8 2016. Lakini bado kuna mengi ya kuyajua yanayoendelea hivi
sasa.
June 6 2016 Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye
aliwasilisha bungeni azimio la bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa
udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni.
VIDEO: Waziri Nape kaitoa hii ya wachezaji kutumia dawa za kuongeza nguvu michezoni
Reviewed by Unknown
on
09:18:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
09:18:00
Rating:
