Unaweza kutangaza ndoa ukiona picha hizi mpya za Shilole


Amepost picha kwenye Instagram na kuandika, “Mungu ww ndo unajua uliponitoa Na unajua ninapokwenda! Hujawahi kuniangusha hata mara moja! Na unajua napambana kiasi gani na hii dunia uliyoniweka. Ewe Mungu nisaidie kwa kazi yangu hii mpya wote Tuseme Amen #saymaname soon.”




Unaweza kutangaza ndoa ukiona picha hizi mpya za Shilole  Unaweza kutangaza ndoa ukiona picha hizi mpya za Shilole Reviewed by CapchaMuzic on 07:29:00 Rating: 5
Powered by Blogger.