Serikali yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

Baada ya muda mfupi wa rais kusema kuwa kuna wafanyabiashara wameficha Sukari, muda huu imeripotiwa kuwa huko Mbagala kuna Sukari ya zaidi ya tani 4,900 kwenye ghala la mfanyabiashara mmoja na imeelezwa zitachukuliwa hatua stahiki.

Serikali yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar Serikali yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar Reviewed by Unknown on 02:26:00 Rating: 5
Powered by Blogger.