Baada ya Bunge Kukatazwa Kuonyeshwa Live..Baadhi Waamua Kujirekodi Kwa Kutumia Simu
From
@mangekimambi_ - Omg this is sooooo sad jamani... Eti nchi yetu ndo
imefikia hapa, Mbunge akiwa anachangia bungeni mwenzie inabidi amrekodi
Kwa simu then waposti kwenye social media ndo wananchi wajue michango
Yao.... This is really sad! Hivi Kweli Raisi wetu asiependa uonevu wa
watanzania anayaona haya???
Baada ya Bunge Kukatazwa Kuonyeshwa Live..Baadhi Waamua Kujirekodi Kwa Kutumia Simu
Reviewed by Unknown
on
03:02:00
Rating:
Reviewed by Unknown
on
03:02:00
Rating:
