Video: Papa Wemba afariki dunia baada ya kuanguka jukwaani

 
Mwanamuziki mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Papa Wemba amefariki Jumapili hii baada ya kuanguka jukwaani wakati akitumbuiza.



Muimbaji huyo maarufu amefariki akiwa Abidjan, Ivory Coast amefariki baada ya kuanguka ghafla wakati akitumbuiza kwenye tamasha la muziki la Anoumabo (FEMUA). Inadaiwa kuwa alishikwa na kifafa.
Video: Papa Wemba afariki dunia baada ya kuanguka jukwaani Video: Papa Wemba afariki dunia baada ya kuanguka jukwaani Reviewed by CapchaMuzic on 12:43:00 Rating: 5
Powered by Blogger.