UNATAKA KUJUA MSHAHARA NA POSHO ZA WABUNGE WETU SOMA HAPA KUTOKA KWA ZITTO KABWE




A tweet from @zittokabwe:

"Mshahara wa mbunge ni 3.8m kila mwezi. Posho ya Ubunge 8m Kwa mwezi. Posho ya kujikimu ( perdiem)120K kwa siku, kukaa 200K Kwa siku. Fedha za mfuko wa jimbo huwa around 48Mil kulingana na jimbo. Sasa maposho yote hayo.


Mwambie mbunge wako hizo posho apeleke jimboni kusaidia jamii, hizo ni kodi zetu mimi na wewe. Kuna wabunge Majimbo yao hata matundu ya vyoo vya shule hamna wakati laki moja tu yatosha."

Zitto Z Kabwe
UNATAKA KUJUA MSHAHARA NA POSHO ZA WABUNGE WETU SOMA HAPA KUTOKA KWA ZITTO KABWE UNATAKA KUJUA MSHAHARA NA POSHO ZA WABUNGE WETU SOMA HAPA KUTOKA KWA ZITTO KABWE Reviewed by CapchaMuzic on 23:54:00 Rating: 5
Powered by Blogger.