PICHA Yaliyojiri mikutano ya Dr. Magufuli Jijini Dar es Salaam.........Umuhimu wa Wasanii Ziara za Magufuli Waonekana


Leo magufuli ameangukia pua baada ya kukosa kabisa watu katika ziara zake jijini dar. Kigamboni amepata robot uwanja na temeke mwembeyanga kabisa ndio kapata aibu. Alifanya ziara bila wasanii. Wachambuzi wa siasa za CCM wamesema umuhimu wa wasanii dar ni muhimu mikutano ya CCM. Muda huu mabasi ya UDA yamesambazwa jiji lote kusomba watu na kuhakikisha wanafuta aibu ya kigamboni na mwembeyanga katika mkutano wa jioni pale Biafra kinondoni. Mdau aliyepo tegeta anasema kuna mabasi 15 ya UDA pale tegeta kibaoni yanapakia watu.






PICHA Yaliyojiri mikutano ya Dr. Magufuli Jijini Dar es Salaam.........Umuhimu wa Wasanii Ziara za Magufuli Waonekana PICHA Yaliyojiri mikutano ya Dr. Magufuli Jijini Dar es Salaam.........Umuhimu wa Wasanii Ziara za Magufuli Waonekana Reviewed by CapchaMuzic on 07:34:00 Rating: 5
Powered by Blogger.