Hiki Ndicho Alichokisema Kingwendu Baada ya Kushidwa UBUNGE


Kingwendu aliyekuwa Mgombea wa CUF amesema licha ya kushindwa Uchaguzi huo ameweza kujitangaza Afrika Mashariki na kuonyesha uwezo wake
"Nimejaribu na nimeweza ila bahati ahaikuwa yangu katika ushindani kuna mawili kushinda na kushindwa,mimi kama nimeshindwa basi sikati tamaa sasa hivi nitakuwa Mwanasiasa"Alisema
Namuomba Mwenyezi Mungu aniweke salama ili mwaka 2020 kama nitakuwepo kama nitakuwepo hai nitaingia tena kwenye kinyang'anyiro,Nimeshajua Mapungufu yangu yapo wapi na kwa bahati mbaya nilikuwa sijajipanga zaidi ila nimejitahidi.Kwasababu nilijua ni kawaidakawaida kwamba nitatumia hela kidogo nimejikuta nikitumia hela nyingi an nimechemsha sana mtu wa CCM na nimetengeneza rekodi nzuri sana kwa jina langu Afrika mashariki na Hapa nyumbani,Niligombea nafasi ya Ubunge nikashika nafasi ya pili,hii pia ni Hatua katika maisha
Hiki Ndicho Alichokisema Kingwendu Baada ya Kushidwa UBUNGE Hiki Ndicho Alichokisema Kingwendu Baada ya Kushidwa UBUNGE Reviewed by CapchaMuzic on 01:32:00 Rating: 5
Powered by Blogger.