WEMA SEPETU AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MTOTO WA DIAMOND
Mrembo mwenye ushawishi mkubwa zaidi kwenye social media hapa Bongo,
ambaye alishawahi kujinyakulia taji kubwa zaidi la ulimbwende hapa Bongo
bibie Wema Sepetu ameandika maneno mazito sana kwenye mtandao maarufu
wa Instagram ambayo yamevuta hisia za watu mbali mbali wakiwemo ma
superstar wengine ndani ya Bongo.
Ningekuwa na uwezo wa
kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana... But sina... Na siwezi
kumkufuru mwenyezi mungu.... Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo
hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu mwenyewe... Is dat wat u
want...? kila ntakachofanya kwa ajili ya tumbo langu basi nitangaze...
Au mnadhani siumii mnavyosema kuhusu maswala ya mtoto������... Kumbukeni
na mimi pia ni binaadam... Nina moyo kama nyie... Au mnadhani napenda
kuona wenzangu wana watoto au wana ujauzito alafu mimi sina hata wa
kusingiziwa... Mnaona nafurahia sio.... Hivi mna nini jamani... Yaani
mtu unaweza weka post kwa nia nzuri then people jus come from nowea
wanaanza kukuandikia maneno ya kukuumiza kabisa nafsi hadi mtu unakaa
unajiuliza umemkosea nini mwenyezi Mungu... Kwani kuna niliemkosea
yoyote mpaka muanze tu kunikashif na kunitolea maneno mazito namna
hio... Kisa mtoto... Mnadhani naipenda hii hali... Hata mimi natamani
kuitwa mama na hakuna kinachoniuma kama hicho.... So mnadhani sijui kama
umri unaenda na maisha yenyewe sikuhizi mafupi anytime we die...
Mnafikiria nisingependa kuacha hata ka copy kangu siku ndo Mungu anasema
ananichukua... Hata mimi natamani ningekuwa napiga picha niko na
mwanangu... I want dat with all my life but I cant.... Sitokaa nimkufuru
Mungu wangu hata siku moja maana sijui ni kitu gani kaniandikia... But
just dont rub it in... It hurts... And im jus a human being like each
and everyone of u.... ������
Mastaa wengine akiwemo mwanadada Mboni nao hawakukosa la kuandika katika kumtia moyo Wema Sepetu:
NIMEGUSWA
������������Pole sana mdogo wangu @wemasepetu @wemasepetu @wemasepetu
@wemasepetu nimeona post yako na imeniuma sana, lakini naomba nikusihi
kidogo " @wemasepetu Binadamu huwezi wakataza kasema, chukua mfano
kwangu! Mimi nilisemwa sana kuwa mimi MGUMBA mimi siwezi zaa na maneno
mengi tu ya kashfa na YA kuzaliliswa, bila ya wao kujua ni kiasi gani
nilikuwa nasali usiku na mchana ili nipate mtoto wangu. Lakini Mimi wala
sikuwajali hao walimwengu wanasema nini, niliendelea kumlilia MUNGU
Wangu na mwisho wa siku alinipa HITAJI langu.. ALHAMDULILLAH ���� Wako
wapi leo walionisema vibaya?! Wanajisikiaje ndani YA nafsi zao??
@wemasepetu mimi binafsi nimetafuta mtoto kwa miaka mingi sana, lakini
siku Mungu alipotaka alinipa bila YA kutegeme..Mimi nimepata ujauzito
nikiwa na miaka 35 y wewe upate tabu na kusononeka wakati hata 30th
hujafika Mdogo wangu??!!USIISHI KWA AJILI YA WANADAMU, WAO SIO MIUNGU
BWANA.. WEWE ENDELEA KULIA NA MOLA WAKO ATAKUJIBU TU. MUNGU ANAJIBU
MDOGO WANGU.. TATIZO LETU SISI WANADAMU HATUNA INNA LLAH MASWABIRINA #
SUBIRA KWETU HATUNA # Lakini jua MUNGU atakupa muda wako utakapofika.
Wala usisononeke mbona flan ana mimba y wewe! NNA IMANI KABISA WAKATI
WAKO BADO HAUJAFIKA , UKIFIKA UTAPATA TU UJAUZITO ENDELEA KUMUOMBA MUNGU
TU NA WALA USICHOKE KUMUOMBA.. NA INSHAALLAH NTAKUWEKA KWENYE SALA
ZANGU ZA KILA SIKU.. Wewe RELAX kwa kujua siku yako ipo tu.. Love you so
much Dogo ake @wemasepetu ❤️��������NAJUA INAUMA SANA NA KUKERA HASWA.
WANADAMU HEBU TUMUOGOPE MUNGU JAMANI HAPA TUNAPITA TU KUNA MOTO HUKO
TUNAKO KWENDA.. ALLAH AKBAR �������� cc @chantelle8888 @martinkadinda
@wemasepetu @petitman_wakuache @millytz1
WEMA SEPETU AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MTOTO WA DIAMOND
Reviewed by CapchaMuzic
on
03:27:00
Rating: