WAPENZI WA JINSIA MOJA WAFUMWA...KELELE ZAWAKERA MAJIRANI..POLISI WAVAMIA WAKUTA MAMBO YA AJABU CHUMBANI


DUNIA imekwisha! Wasichana wawili warembo, Maua Sadick (24), mkazi wa Stakishari, Ukonga wilayani Ilala na Lucy Fred (23), mkazi wa Karakata jijini Dar es Salaam, wanashikiliwa katika Kituo cha Polisi Stakishari, Ukonga, Dar kwa kesi yenye jalada STK/RB/463/2015 wakidaiwa kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Warembo, Maua Sadick (mwenye shati la draft) na Lucy Fred wakipozi kimahaba. Warembo hao walikamatwa Januari 12, mwaka huu saa sita mchana, nyumbani kwa Maua wakidaiwa kufanya ngono kinyume cha sheria ya kujamiiana ambapo watu wa jinsia moja ni makosa kukutana kimwili. Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
WAPENZI WA JINSIA MOJA WAFUMWA...KELELE ZAWAKERA MAJIRANI..POLISI WAVAMIA WAKUTA MAMBO YA AJABU CHUMBANI WAPENZI WA JINSIA MOJA WAFUMWA...KELELE ZAWAKERA MAJIRANI..POLISI WAVAMIA WAKUTA MAMBO YA AJABU CHUMBANI Reviewed by CapchaMuzic on 02:54:00 Rating: 5
Powered by Blogger.