MH RIDHIWANI ATUPA KOMBOLA KWA MTANGAZA NIA WA URAIS KIMYA KIMYA.


Katika post ya leo ya mbunge wa Chalinza Ridhiwani Kikwete ametupa jiwe gizani kwa mmoja kati kati ya watangaza nia ujumbe ukiwa Ikulu sio ya baba ako na Ikulu sio hospitali,Rais bora ni lazima awe na afya ya mwili ,na akili.
MH RIDHIWANI ATUPA KOMBOLA KWA MTANGAZA NIA WA URAIS KIMYA KIMYA. MH RIDHIWANI ATUPA KOMBOLA KWA MTANGAZA NIA WA URAIS KIMYA KIMYA. Reviewed by CapchaMuzic on 08:53:00 Rating: 5
Powered by Blogger.