Hii ndyo Top 11 List of shame (Orodha ya Mafisadi): Walitajwa, wakatishia kushtaki, wakakaa kimya

 
Dr. W.P. Slaa, Katibu Mkuu wa CHADEMA, mwaka 2007 aliwataja wafuatao kuwa ni Mafisadi wa Tanzania. Ilikuwa kwenye Viwanja vya Mwembeyanga, Temeke-Dar es Salaam. Hawa ndio laana ya Tanzania na ndio wanaokula nchi. Dr. Slaa alitaja majina na muktasari wa ufisadi wa kila mmoja. Baada ya kutajwa kwenye Orodha hiyo ya Mafisadi, kila mmoja alitishia kumburuza Mahakamani Dr. Slaa kwa kumchafua.

Hadi leo tarehe 2/7/2015, hakuna hata mmoja aliyethubutu kwenda Mahakamani. Katika Orodha hiyo ya aibu, yupo marehemu mmoja;wapo walio na kesi mahakamani;yupo Rais Mstaafu; wako 'Mapacha Watatu' wa CCM waliotishiwa kuvuliwa gamba; yupo msaka Urais na hata Rais. Majina yao tu yanasadifu uwepo wa hapo.

Watajwa hawa:

1. Dr. Daudi T.S. Balali

2. Gray Mgonja

3. Basil P. Mramba

4. Patrick W.R. Rutabanzibwa

5. Nimrod E. Mkono

6. Benjamin W. Mkapa

7. Andrew J. Chenge

8. Edward N. Lowassa

9. Rostam Aziz

10.Nazir Karamagi

11. JMK

Ni walewale wanatamani kilekile! Credit.JAMII FORUM
Hii ndyo Top 11 List of shame (Orodha ya Mafisadi): Walitajwa, wakatishia kushtaki, wakakaa kimya Hii ndyo Top 11 List of shame (Orodha ya Mafisadi): Walitajwa, wakatishia kushtaki, wakakaa kimya Reviewed by CapchaMuzic on 07:09:00 Rating: 5
Powered by Blogger.