Huu ndio Ufuska Unaofanywa na KLABU ya MSHOGA iliyopo Jijini Dar

 
KLABU inayodaiwa kuwahifadhi wanaume tata imegundulika hivi karibuni maeneo ya Kinondoni jijini Dar karibu na Viwanja vya Leaders.

Paparazi wetu aliibaini klabu hiyo baada ya kuwanasa wakifanya pati ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanaume hao aliyejitambulisha kwa jina moja la God ‘God Chocolate’.



Mwanahabari wetu ambaye alichukua matukio tofauti ukumbini hapo, aliwashuhudia wanaume hao wakiwa katika hali isiyokuwa ya kawaida kwani walijiachia kwa vinywaji vikali na muziki huku wakibusiana kimahaba.

Kikubwa kilichostaajabisha ni jinsi ambavyo God alivyovaa mavazi ya kike na kujiremba kama vile anakwenda harusini.
“Hawa kila siku ukija katika klabu hii utawakuta. Ndiyo michezo yao. Wanahifadhiwa humuhumu ndani na wateja wao wanakuja hapahapa,” alisema mmoja wa wahudumu wa klabu hiyo.
Huu ndio Ufuska Unaofanywa na KLABU ya MSHOGA iliyopo Jijini Dar Huu ndio Ufuska Unaofanywa na KLABU ya MSHOGA iliyopo Jijini Dar Reviewed by CapchaMuzic on 23:30:00 Rating: 5
Powered by Blogger.