Makadirio ya Mapato ya Askofu Ngwajima kutoka Kwenye Sadaka za Waumini
.jpg)
NI HIVI:
Tufanye kila muumini wake hutoa sadaka ya sh. 500 tu-hiyo ni flat rate,
ina include waliotoa elfu kumi, waliotoa sh mia na wasio toa kabisa.
Hivyo basi kwa siku moja kwa waumini 70,000 wakitoa sh 500 ni sawa na sh
milioni 35. Kwa wiki wanaenda mara mbili hivyo ni sawa na sh milioni
70.
Kama kwa wiki anaingiza milioni 70, je kwa mwezi anaingiza kiasi gani? Uki cross multiplication utapata milioni 280
Kama kwa mwezi anaingiza milioni 280, je kwa mwaka anaingiza kiasi gani?
uki cross tena multiplication utapata bilioni 3 na milioni 360. Sasa
piga hesabu kwa miaka yote aliyotoa huduma ameingiza sh ngapi?
Kwa mantiki hiyo pesa aliyonunulia Hummer aliipata ndani ya mwezi mmoja tu.
Achilia mbali fungu la kumi na pesa mbali mbali anazopewa kama zawadi, hapo tumepiga hesabu ya sadaka tu.
NAMALIZIA, Biblia inasema "vya madhabahuni vitaliwa na wamadhabahuni" full stop.
Makadirio ya Mapato ya Askofu Ngwajima kutoka Kwenye Sadaka za Waumini
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:21:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:21:00
Rating: