Kwa wanawake tu! Mwanaume ukiingia roho itakuchomoka!!! Shauri Yako...



Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ee!!!!!!!!!!!!!!!! (Kwaresma imeishaaa jamani tuonane Ramadhan)

Mara nyingi katika maongezi yangu na vibinti vya huku mtaani, naviulizaga kwanini hukutulia na flani, ana kazi nzuri, amesomaaa, angekupa maishaaa, umekuja kuzaa na flani hana mbele wala nyuma? WHY? Hujihurumiii mdogo wangu maisha yenyewe yalivovaa pensi haya.


Mara nyingi jibu huwaga ni moja yule kweli msomi na hlea ananigea lakini hajuiii yaani hajuii kufanya kabisaaa! Anastua tu! Anaenda kama chatu alievimbiwaaa! Hahaaaa! Upepo mtupuuuu! anakata mauno utafikiri paka kaninginizwaaa! Hahahahaaaaaaaaaaaaaa! (It is not a laughing matter and i am ashamed of myself.)

Ufundi kwenye game nao una maksi zake mwenzanguu. Ile nayo starehe atiiii. Tatizo hawa kaka zetu wakusoma wabishiii, hawataki kukosolewa na hawafundishiki. Ukimueekeza kidogo tu kosaaa, deal breaker. Anavojua yeye ndio hivo hivo. Mtu unavumilia unachoka?

SWALI LANGU LA MSINGI JE NI KWELI HAWA VIJANA WA KITAA, KAZI WANAIWEZA SANAA AU IMANI TU? Isije kuwa napitwaaa! Maanake ukiangalia mtu yupo katika total loss kwa kila angle ya maisha ila ndo anzaa kabisaa, si buree, lazima kuna kitu.

SWALI LANGU LA PILI JE NI KWELI KAKAZETU WAGUMU KUFUNDISHWAA NA HAWAWEZI KAZI?


MJUMBE HAUWAI JAMANIIIIIIIIII! Hahahahaaaaaaaaaaaaaa!

Kwa wanawake tu! Mwanaume ukiingia roho itakuchomoka!!! Shauri Yako... Kwa wanawake tu! Mwanaume ukiingia roho itakuchomoka!!! Shauri Yako... Reviewed by CapchaMuzic on 04:40:00 Rating: 5
Powered by Blogger.