JOKATE ASEMA KUNA MWANAUME ANAETAMANI KIMAPENZI...UNAJUA NI NANI HUYU HAPAAAAAAAAAAA

Mwanamitindo, mbunifu na Miss Tanzania namba mbili mwaka 2006, Jokate Mwegelo aka ‘Kidoti’ amesema kuwa kuna mtu anamtamani sana kimapenzi.

Akizungumza na The playlist ya Times Fm hivi karibuni, Kidoti alisema hayo akihusisha ukweli huo na kile alichokiimba kwenye wimbo wake uitwao ‘Leo leo’ aliyomshirikisha Ice Prince wa Nigeria.
“Yah nyimbo inahusiana coz kuna mtu namtamani sana yani, ila akizingua tu nambwaga bado namuangalia” alisema Jojo Hata hivyo Jokate hakuwa tayari kumtaja mtu huyo anayemtamani. Source:Times Fm
JOKATE ASEMA KUNA MWANAUME ANAETAMANI KIMAPENZI...UNAJUA NI NANI HUYU HAPAAAAAAAAAAA JOKATE ASEMA KUNA MWANAUME ANAETAMANI KIMAPENZI...UNAJUA NI NANI HUYU HAPAAAAAAAAAAA Reviewed by CapchaMuzic on 02:36:00 Rating: 5
Powered by Blogger.