Hili sharti linaiweka rehani ndoa yangu

Lakini ikawa kinyume chake, siku moja wakakutana kwny kitchen party, akaanza kuomba nyimbo zenye maudhui ya vijembe kwa wife, kwa kuwa wife alikuwa keshatonywa na wapambe nux kuhusu chezo lote basi cku hiyo alimpa kipigo cha kutosha na aliporudi home hata hakuniambia chochote kilichotokea.
Twende kwenye stori kamili sasa;
Juzi nilikuwa na miadi na hako ka mchepuko,nikatunga uongo wee hadi ukapatikana, nikamwambia wife naenda mcbani uongo wangu ukatiki nikauseti mchepuko twende tukalale hotel flani, mambo yakawa poa.
Sasa wakati tuko pale hotel tunapata vinywaji si akatokea mama mmoja anaishi jirani yetu ni muongo muongo hivi, akaenda kuunguza picha yote kwa mamsapu.
Sasa niliporudi jana ndio nikakutana na kimbembe nikakuta mwanamama kachachamaa, povu limemtoka, bila simile akawa anaongea kwa jazba, akiwa na hasira zile zile ndio akanipa sharti hili:- nakwambia (akanitaja jina langu, hicho ndio kipimo cha kukasirika kwake ni kunitaja jina) kama hautakwenda kupima UKIMWI hautaingiza hilo dubwasha lako humu akiwa na maana kwamba kuanzia jana mgegedo wangu na papuchi yake havitakuwa na mawasiliano tena.
Hapo ndio ninapopaogopa, kupima huwa sio tatizo sana,lakini shida inakuja kwenye kukubaliana na majibu tofauti na yale yanayopendwa na wengi nikikumbuka kuna jamaa flani kwa hiyari yake mwnyw tena bila kushurutishwa na mtu alikwenda kupima ngoma ( maana nae alikuwa ni mpigaji sana) akaja kupata majibu kwamba hana ukimwi wee jamaa alifurahi kupita kiasi, maana kwa maelezo yake ya awali ni kwamba hajawahi kupima hiyo kitu tangu aanze pilika za kugegeda.
Mwisho wa ile furaha yake jamaa akafa akiwa usingizini.Kinachoniogopesha mimi kupima ni:- ule muda wa kusubiri majibu huwa ni mgumu sana, lakini pia yanaweza kutoka majibu mabaya, au yakiwa mazuri nahofia kufa kwa furaha kama yule jamaa yangu.
Hebu mnishauri jamani nifanyeje kwa hili
Hili sharti linaiweka rehani ndoa yangu
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:36:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
01:36:00
Rating: