Hii ndiyo orodha ya mashujaa wa miaka 50 ya Muungano, Mama Maria na Diamond Platnumz ndani

-Maria Nyerere
-Asha Rose Migiro
-Bi kidude
-Filbert Bayi
-Adam Shafi -Dr. Salim Ahmed Salim
-Getrude Mongela
-Javed jafferji
-Steven Kanumba
-John da silva
-Happiness Magese
-Juma Aley
-Proffessor issa shivji
-Proffessor Haroub Osman
-Haji Gora
-Diamond Platinumz
Hii ni kwa mujibu wa kitabu maalum kilichoandaliwa cha safari ya miaka 50 ya muungano. Kitabu hiki kitazinduliwa Serena hotel na Mh Jakaya Kikwete.
Source ;michuzi junior blog
Hii ndiyo orodha ya mashujaa wa miaka 50 ya Muungano, Mama Maria na Diamond Platnumz ndani
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:27:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:27:00
Rating: