Baada ya Kutemwa na Kunyang'anywa Mtoto Siwema Aendelea Kupeta, Anunua Gari Mpya Kwa hela zake Mwenyewe

Ameweka Picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika yafuatayo:
wemalicious: Thank u ZAMZAM MOTORS LTD.....kwakufanikisha hili...u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani!!!!
wemalicious : She cheat again......# whaaaat?
Baada ya Kutemwa na Kunyang'anywa Mtoto Siwema Aendelea Kupeta, Anunua Gari Mpya Kwa hela zake Mwenyewe
Reviewed by CapchaMuzic
on
07:32:00
Rating: