Zari the bosslady vs Chaggabarbie Muke ya Mganda....Hali si Shwari , Warushiana Vijembe Hatari

Kumekucha instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kip
ekee zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo kumgombania Ivan,mie sijui nani mchokozi ila nijuavyo tu boss lady huwa haongei ongei hadi achokozwe, ila hii ya Chagga Barbie Kujinadi Mitandaoni Anatoka na Ivan Baba Watoto wa Zari Imemuingia Kunako :
Soma Vijembe walivyokuwa wanajibishana hapa Chini: Mukeyamganda ni Chagga barbie yule aliyewahi kuwa Girlfriend wa Prezzo na Kuachana kwa Aibu

Zari the bosslady vs Chaggabarbie Muke ya Mganda....Hali si Shwari , Warushiana Vijembe Hatari
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:33:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:33:00
Rating:
