Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam wamefariki katika ajali ya basi la Majinjah
Takribani wanafunzi watano kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam wamepoteza maisha katika ajali iliyotekea jana.
Wanafunzi hao walikuwa wakirejea chuo baada ya likizo kuisha.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen!
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam wamefariki katika ajali ya basi la Majinjah
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:06:00
Rating: