Utapenda alichojibu Meninah Kuhusu tetesi za Kutoa Mimba ya Diamond

Kuna tetesi za miezi kadhaa sasa mtaani(ambazo sisi binafsi hatujaweza kuzithibitisha)kuwa menina alitoa mimba ya Diamond Platnumz
Wawili hao waliwahi kudaiwa kuwa na uhusiano lakini wote walikanusha.
Mtangazaji wa masuala ya Udaku nchini Soudy Brown kupitia you Herd ya Clouds Fm amejaribu kumchimba Menina kuhusiana na tetesi hizo ambazo zinaongeza kuw aDiamond alimpiga chini baada ya kiumbe chake kukatishwa..
Hata hivyo huenda jibu alilopata mtangazaji huyo hakuwa amelitegemea.
"Kwani(Diamond) sio rijali,"alihoji mrembo huyo."Yeye hafai kumbebesha mwanamke mimba,"alisisitiza Meninah huku akicheka
Utapenda alichojibu Meninah Kuhusu tetesi za Kutoa Mimba ya Diamond
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:49:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
05:49:00
Rating: