Ukiacha kipaji chake cha kuimba, Davido ni mbaya sana awapo 6 kwa 6 (kitandani).



Haya sasa wadada kazi kwenu! Ukiacha kipaji alichonacho cha kuimba na kusaka mshiko bila kuchoka mwanamziki Davido amefunguka kuhusu kipaji chake kingine. Davido mwenye miaka 22 amefunguka kupitia mtandao wa Twitter kua yeye ni mbaya sana awapo kwenye 6 kwa 6 (kitandani na mpenzi wake).
Davido alisema hayo alipoulizwa swali na mmoja wa shabiki wake, swali lenyewe lilikua “What else is Davido talented with apart from music?” ( Nikitu gani Davido ana kipaji ukiacha mziki?) Davido alimjibu

 Love making ????????????????“@EzeaOluchi: @DanielAims if I may ask wat else is @iam_Davido talented wit apart frm music??” — Davido (@iam_Davido) March 3, 2015
Ukiacha kipaji chake cha kuimba, Davido ni mbaya sana awapo 6 kwa 6 (kitandani). Ukiacha kipaji chake cha kuimba, Davido ni mbaya sana awapo 6 kwa 6 (kitandani). Reviewed by CapchaMuzic on 02:43:00 Rating: 5
Powered by Blogger.