Snura Akipa Promo Kiuno Chake..Asema Kinaitwa Kiuno Panya Road..Kiangalie Hapa Akikizungusha



Baada ya Kujifungua Mtoto wa Kiume na Kuachia Single mpya inayoitwa Hawashi Snura wa Majanga Amejinadi na kusema kwa sasa kiuno chake hakina mfupa kinazunguka balaa , Snura amesema kwa sasa kiuno chake ni kiuno panya road...Shilole Unalo Hapo .....!!!

 Embu angalia hichi kipande cha Video Snura akifanya yake alipopewa nafasi na watangazaji wa Clouds FM kuonyesha kiuno Panya Road:
Snura Akipa Promo Kiuno Chake..Asema Kinaitwa Kiuno Panya Road..Kiangalie Hapa Akikizungusha Snura Akipa Promo Kiuno Chake..Asema Kinaitwa Kiuno Panya Road..Kiangalie Hapa Akikizungusha Reviewed by CapchaMuzic on 10:27:00 Rating: 5
Powered by Blogger.