Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei


 
Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!

 Chanzo: Wapo Radio fm
Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei Reviewed by CapchaMuzic on 02:04:00 Rating: 5
Powered by Blogger.