Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili


 

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya “Malkia” ..

 “Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”. 

Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga hilo na huyo anaesifa hapo.

Mzee wa Ubuyu.
Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili Kwa Maneno Haya, Wolper Anajivunia Mpenzi Wake Aliempa ‘Ndinga’ Hili Reviewed by CapchaMuzic on 00:36:00 Rating: 5
Powered by Blogger.