Amini Usiamini Hiki ndicho Alichofanyiwa Benpol Jana Jukwaani na Shabiki wake
Amini usiamini msichana huyu ambaye ni Dent mzuka ulimpanda na kuamaua kumkamata kisawasawa Ben Pol tena kwa hisia kali ambapo kama ingekuwa ni chobingo usingevumilia, Hiyo ilitokea jana kwenye Usiku wa Sophia ndani ya Matei lounge Dodoma
Amini Usiamini Hiki ndicho Alichofanyiwa Benpol Jana Jukwaani na Shabiki wake
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:54:00
Rating: