Wema Sepetu Achoka Skendo Kila Siku Sasa anataka Kuolewa na Kutulia



Wema Sepetu amechoka mahusiano ya Boyfriend na Girlfriend muigizaji huyo wa Filamu sasa anataka kutulia
Wema aliyasema hayo jana kwenye kipindi chake cha In My Shoel baada ya kuulizwa na Meneja wake Martin Kadinda kwa nini ana 'kiki' kwa  sasa 
 Miss tanzania huyo wa mwaka 2006 alijibu kuwa kuna vitu vingi anataka kufanya ikiwemu kuwa na hamu ya kuwa mke wa mtu
Hata hivyo wema hakutaka kumuweka wazi mume wake mtarajiwa na kumuambia meneja wake Martin kuwa na Subira

Wema Sepetu Achoka Skendo Kila Siku Sasa anataka Kuolewa na Kutulia Wema Sepetu Achoka Skendo Kila Siku Sasa anataka Kuolewa na Kutulia Reviewed by CapchaMuzic on 11:19:00 Rating: 5
Powered by Blogger.