Wastara atoa Maneno ya Uchungu,Yawagusa Wengi


Muigizaji wa Filamu,Wastara Juma amewapa watu simanzi mitandaoni,baada ya leo kuandika maneno mazito ya Uchungu akisema matatizo ya kidunia yamemzidia na kubandika picha hii akiwa analia.na kupelekea simanzi kwa mashabiki wake hukku wengine wakimpa pole na wengine wakimwandikia kila kitu kina mwisho wake yatakwisha

Hapa Duniani kila mtu ana shida na matatizo yake lakini kwa mimi yamezidi daah eeh mwenyezi "Mungu nibadilishe basi iyo nafasi yamateso uliyoniwekea umuwekee mwingine nami unipe furaha nicheke kama wengine maishani mwangu niache kulia ee mungu baba jamani mimi mimiii aah!" aliandika wastara

Wastara atoa Maneno ya Uchungu,Yawagusa Wengi Wastara atoa Maneno ya Uchungu,Yawagusa Wengi Reviewed by CapchaMuzic on 11:25:00 Rating: 5
Powered by Blogger.