Wabaune wa Kihaya Tunachunguzwa Sana Katika Mapenzi,Mdemu Wengi Wanatuogopa ...Why?


Naulia tu jamani mimi kama muhaya,nitakapo kuwa na uhusiano wa mapenzi na mtanzania wa kabilia tofauti na mimi,Scrutiny kubwa dhidi yangu has to take place,kwani sisi male wa kihaya tunatatizo? Akina dada wengi wapo tayari wapo tayari kutoka na kabila lolote akini sio Muhaya,is it that our melehood una walakini? Iunderstand kuna certain stigma's attached to wahaya,lakini hello,for god's sake,hii ni karne mpya on top sisi ni generetion mpya.

Sifyrahi kusikia wakina dada wakisema natoka na muhaya as a last kwani tuna shidgani?
Wabaune wa Kihaya Tunachunguzwa Sana Katika Mapenzi,Mdemu Wengi Wanatuogopa ...Why? Wabaune wa Kihaya Tunachunguzwa Sana Katika Mapenzi,Mdemu Wengi Wanatuogopa ...Why? Reviewed by CapchaMuzic on 01:37:00 Rating: 5
Powered by Blogger.