Video:Hii ni moja ya sababu za Diamond kuwapagawisha zaidi 'ma-girlfriends' zake?



Diamond Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye suo mahiri wa studio na jukwaani peke yake ,lakini ana kitu kingine ambacho huenda kikawa moja ya sababu za kuwapagawisha zaidi wasichana anaokuwa nao kwenye mahusiano.

Hivi karibuni amepost picha akiwa jikoni anapika huko Bangalore,India aliko sasa wasichana wengi hupenda sana kuona mwanaume anafanya kazi ambazo baadhi ya wanaume huona ni za kike

Video:Hii ni moja ya sababu za Diamond kuwapagawisha zaidi 'ma-girlfriends' zake? Video:Hii ni moja ya sababu za Diamond kuwapagawisha zaidi 'ma-girlfriends' zake? Reviewed by CapchaMuzic on 04:25:00 Rating: 5
Powered by Blogger.