Usione Mwanaume Katulia Kwenye Ndoa Ukajua Kaendewa kwa Mganga,Uganga Tunao Wenyewe....Soma Hapa

Jana tulikuwa na kamjadala karefu kidogo kuhusu wandugu kitu gani wanataka ili watulie ndoani.Nami nimeyachuja,nikaongeza na kutia chumvi kidogo ili kunogesha.Haya siyo maneno yangu.Ni yakwao wenyewe.Wenye macho wasome...Usione mwanaume katulia na mkewe ukaanza kuuliza mke kamwendea kwa mganga yupi,Uganga tunao wenyewe wanawake hutu kuwajibika
Usione Mwanaume Katulia Kwenye Ndoa Ukajua Kaendewa kwa Mganga,Uganga Tunao Wenyewe....Soma Hapa
Reviewed by CapchaMuzic
on
08:21:00
Rating: