Unaambiwa Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz sio siri tena, wapiga Picha wakiwa Bafuni, wema Ndani ya Taulo
Ule msemo unaosema lisemwalo lipo sasa unaanza kutimia,baada ya kwenye mitandao ya kijamii kusambaa kwa baadhi ya Picha za Wema Sepetu akionekana akimkamua Ommy Dimpoz chunusi na watu wengi kutoa maoni na kusema kuwa kunakitu kinaendelea...........

Wenyewe kwa kudhihirisha hilo Usiku wa jana wameposti picha wakiwa pamoja bafuni huku Wema akiwa na Taulo Jeupe na Ommy Dimpoz akinawa mikono kwenye sink,huu niushahidi wa asilimia 90 kwamba kuna kitu kinaendelea
Unaambiwa Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz sio siri tena, wapiga Picha wakiwa Bafuni, wema Ndani ya Taulo
Reviewed by CapchaMuzic
on
21:21:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
21:21:00
Rating: