Ujauzito wa Zari Wazidi kumchanganya Diamond Aanza Kununua Midoli na Vitu Vyakuchezea Vya Mtotot wao na Zari Kabla ya hajazaliwa


Kwa kile kinachoonekana kufurahia Ujauzito alionao Zari,Diamond muhusika wa ujauzito huo hakusita kuonyesha furaha yake hadi ameanza kununua vitu vya kuchezea(Toys)vya mtoto pindi atakapozaliwa.......Ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Instagram;
"Ushamba huu,eti nimeshaanzakununua vitoy vya kuchezea....."
Ujauzito wa Zari Wazidi kumchanganya Diamond Aanza Kununua Midoli na Vitu Vyakuchezea Vya Mtotot wao na Zari Kabla ya hajazaliwa Ujauzito wa Zari Wazidi kumchanganya Diamond Aanza Kununua Midoli na Vitu Vyakuchezea Vya Mtotot wao na Zari Kabla ya hajazaliwa Reviewed by CapchaMuzic on 01:45:00 Rating: 5
Powered by Blogger.