Picha;Unaambiwa Diamond na Zari wamfuata Alikiba Zanzibar kwenda kula Valentineday Jana

Unaambiwa mtoto Zari hakubaki Nyuma siku ya Wapendanao,Kampandia ndege Diamond na Kutua bongo,hapo kwenye Picha wakienda zao Zanzibar kula raha Diamond ambapo mpinzani wake AlliKiba nae yupo Zanzibar kwenye tamasha la Sauti za Busara, Diamond amepost picha hiyo na kuandika#ValentineWeekEndInZanzibar

Picha;Unaambiwa Diamond na Zari wamfuata Alikiba Zanzibar kwenda kula Valentineday Jana
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:33:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
06:33:00
Rating: