PICHA: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu


Picha ya mwigizaji mkongwe wa vichekesho “KOMEDI” Lucas Mhuvile ‘Joti’ imewakuna watu wengi na kufanya kuwa ni moja kati ya picha zinazo” TREND” mtandaoni toka jana. Japo kuwa Joti akiwa kama ‘Bi kiboga’ ametokelezea kiofisi zaidi, watu wengi wamejituka wakiangusha komenti nyingi wakielezea kuvunjika kwa mbavu zao kwa kicheko huku wengine wakisema mnuno wake ndio balaa na wengine wakisema skuna ndio sheedah ilimradi kila mmoja kafurahi kwa mtindo wake.
PICHA: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu PICHA: Joti Awakuna Wengi Kwa Mtoko Huu Reviewed by CapchaMuzic on 04:42:00 Rating: 5
Powered by Blogger.