Pamoja na Msuko wa #5 kichwa,hii picha ya Lulu Siku ya Valentine Inayozungumziwa Zaidi Mitandaoni

Kujiamini na kuwa na mvuto halisi ni vitu anavyo jivunia msanii wa maigizo Lulu kama anavyoonekana kwenye baadhi ya picha zake, watoto wa mjini nwanasema #Natural hii picha aliweka saa chache baada ya siku ya wapendanao imekuwa na mvuto sanaaa mtandaoni kwa msuko wake wa kichwani na ujumbe wake kwenye nguo aliyovaa

Pamoja na Msuko wa #5 kichwa,hii picha ya Lulu Siku ya Valentine Inayozungumziwa Zaidi Mitandaoni
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:01:00
Rating:
Reviewed by CapchaMuzic
on
00:01:00
Rating: