NGURUWE ZAA MTU!..KIJANA ALIYE MTIA MIMBA ASAKWA


Katika hali ya kushangaza,Nguruwe amezaa kiumbe kinacofanana na binadamu huko Burundi,tukio hili lilitokea juzi ambapo Nguruwe huyo ambaye amezoeleka kuzaa watoto zaidi ya wastani alizaa kiumbe kimoja tu chenye asili ya kichwa cha binadamu huku sehemu nyingine zikiwa ni mnyama.

Hata Hivyo wengi waa wakazi wa Nchi hilo wamehusisha tukio hilo na imani za  Ushirikina huku wataalamu wakisema kunauwezekano kuwa kunabinadamu aliemuingilia mnyama huyo na kumuachia mbegu za kiume



NGURUWE ZAA MTU!..KIJANA ALIYE MTIA MIMBA ASAKWA NGURUWE ZAA MTU!..KIJANA ALIYE MTIA MIMBA ASAKWA Reviewed by CapchaMuzic on 01:54:00 Rating: 5
Powered by Blogger.