Mwanaume Mwenye Uume Mrefu Afanya Operation ya Kuupunguza,Adai Una Mnyima Mengi

Mvulana Mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza uume wake.Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.
 Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa nchi 7 na ukubwa wa nchi 10
Daktari wa upasuaji asurgeon Rafael kutoka chuo kikuu cha Florida kusini ambaye alifanya upasuaji huo aliliambia gazeti la mail Online kwamba"kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu litalomuacha kinywa wazi."
"Swali hilo n je,unaweza kuufanya uume wangu kuwa mdogo?"
Kwa vile waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo,uume wao haui mkubwa wakati wakati unapodinda bali huwa mgumu.
Daktari huyo alisema kwam,ba engi hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho na wala si kukipunguza.
Kijana huyo alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza tatizo lake.
Mwanaume Mwenye Uume Mrefu Afanya Operation ya Kuupunguza,Adai Una Mnyima Mengi Mwanaume Mwenye Uume Mrefu Afanya Operation ya Kuupunguza,Adai Una Mnyima Mengi Reviewed by CapchaMuzic on 00:46:00 Rating: 5
Powered by Blogger.