Mtoto Afungiwa kwa Kutumia Mnyororo Kwenye Kitanda cha chuma kwa Muda wa Miaka Miwili


Tukio hilo lilitokea jana Iringa mjini maeneo ya kihesa,baada ya majirani kutoa  taarifa kwenye  serikali ya mitaa kuwa kuna babu anamfungia ndani na kumnyima chakula mtoto mwenye miaka 10 ambaye ni mlemavu wa akili

Picha kama mnavyoiona hapo,dada wa kazi wa binti babu huyo sasa bado yupo kiyuo cha polisi hapa mjini kwa mahojiano zaidi

Mtoto Afungiwa kwa Kutumia Mnyororo Kwenye Kitanda cha chuma kwa Muda wa Miaka Miwili Mtoto  Afungiwa kwa Kutumia Mnyororo Kwenye Kitanda cha chuma kwa Muda wa Miaka Miwili Reviewed by CapchaMuzic on 04:11:00 Rating: 5
Powered by Blogger.