Kuacha Usagaji Unaofanyika Shule za Kike, Hili ni Lingine la Kusikitisha Linalofanyika Kwenye Shule Nyingi za Boarding-Video


Kuacha mambo ya usagaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa sana kwenye shule za boarding za wasichana sasa limeibuka hili la Wanafunzi kutesana hasa wale wa kidato cha juu kuwatesa wa kidato cha chini ..Kwenye video hii wanafunza hawa wanampa kichapo cha mbwa mwizi mwanafunzi mwenzao huku akiwa hana uwezo wa kujitetea...Habari tulizozipata inasemekana baada ya video hiyo kuvuja na walimu kuiona wanafunzi kadhaa waliohusika walifukuzwa shuleni hapa ..hii imetokea huko South Africa...Video ya kusikitisha hii hapa chini:

Kuacha Usagaji Unaofanyika Shule za Kike, Hili ni Lingine la Kusikitisha Linalofanyika Kwenye Shule Nyingi za Boarding-Video Kuacha Usagaji Unaofanyika Shule za Kike, Hili ni Lingine la Kusikitisha Linalofanyika Kwenye Shule Nyingi za Boarding-Video Reviewed by CapchaMuzic on 02:19:00 Rating: 5
Powered by Blogger.